Blog

Pata huduma za Website, SEO, Social Media Marketing na nyinginezo nyingi kutoka Rednet Technologies Branding vs Marketing. Kipi ni kipi? ukweli kuhusu 'Propaganda' Jinsi ya kutengeneza Attention Mtandaoni.

Jinsi ya Kutengeneza Attention Mtandaoni

Posted by Faustine on  12 April 2023
Category: Technology Updates
Hivi unajua kwamba aliyeshinda vita vya 2 vya Dunia ni Urusi, ndiye aliyepigana na Hitler kwa ground. LAKINI, Leo hii kila mtu anaongelea Bomu la Nyuklia la Marekani lililodondoshwa Hiroshima na Nagasaki. Unajua kwanini? Kwa sababu watu wanapenda ATTENTION duniani na leo hapa utafahamu kiundani kabisa jinsi ya kutengeneza attention
Kwanini mteja akuchague wewe

KWANINI MTEJA AKUCHAGUE WEWE?

Posted by Faustine on  23 February 2023
Category: Technology Updates
Maisha ya biashara za mtandaoni ni marahisi sana kama ukizingatia tabia za wateja mtandaoni, na ni magumu sana ukipuuzia/usipozijua. Kwanza, hakikisha ukitafutwa unapatikana. Swala la kujiuliza ni, Kwanini Mteja akuchague wewe aache watoa huduma na wafanya biashara wengine? Zipo sababu nyingi sana mtu akiwa mtandaoni anaziangalia ili ajiridhishe kabla hajawa
Kwanini hupati wateja mtandaoni?

KWANINI HUPATI WATEJA MTANDAONI?

Posted by Faustine on  30 December 2022
Category: Technology Updates
Kila mtu anapenda maisha mazuri, kufanikiwa kibiashara, kuwa na amani na uhuru wa kufanya kile kinachokupa furaha muda wowote. Sasa uko tayari kuingia gharama ili kuyapata matamanio yako? Umeshajiuliza Kwanini Hupati Wateja Mtandaoni licha ya Juhudi unazoweka? Mwaka 2010 wakati nafungua account ya Facebook nilikua nafurahi sana kukutana na rafiki
simu za michongo Faida za kutumia Google kama Jukwaa la biashara yako.
Je, unaamini kwamba matumizi sahihi ya huduma za internet na mitandao ya kijamii yana uwezo wa kukurahisishia huduma/bidhaa zako zikapatikana kirahisi na wateja wako wakiwa popote duniani? Leo nataka nikupe stori kuhusu Faida za kutumia Google kama Jukwaa la biashara yako. Tizama hapa, Siku moja asubuhi kabisa ya mwezi April
Jinsi ya kuongeza mbinu za kulifikia soko la Mtandaoni. Branding vs Marketing. Kipi ni kipi?
Kila mtu atakwambia post insta, facebook, tumia funnels, weka status za kutosha Whatsapp. Mwingine atakwambia kusanya namba za simu uwapigie, tuma emails kila siku nk. Sasa utafanyaje kuongeza mbinu za kulifikia soko? Utakapomaliza makala hii ya leo utafahamu kiundani kuhusu jinsi ya kuongeza mbinu za kulifikia soko mtandaoni. Utafanyaje, twende

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *