TEKNOLOJIA YA S.E.O INA MSAADA GANI KATIKA BIASHARA ZA MTANDAONI?

Je, biashara yako ina uwezo wa kujiendesha hata kama haupo ofisini au pale unapofunga mlango wa ofisi? Kama jibu ni HAPANA, basi wakati wa kuhamisha biashara yako mtandaoni ni SASA kwa sababu Teknolojia haikusubiri wewe ndugu. Leo unapojiuliza teknolojia ya S.E.O ina msaada gani katika biashara za mtandaoni, majibu yote muhimu utayapata hapa. Cha kufanya, Fuatana nasi mpaka mwisho wa makala hii. Imagine wateja wako wanaweza kufanya shopping wakiwa huko huko makwao, wengine wanasoma makala zinazotatua changamoto mbalimbali zinazowakabili na wengine wamepata mawasiliano yako mtandaoni. Yote hayo yanafanyika wewe ukiwa safarini, nyumbani, shambani au ukiwa na mishe zingine. Faida ni nyingi sana ukiwa unafanya Online Business: Yani ukishakuwa na website inayofanya kazi sawia, ukawa na accounts za mitandao ya kijamii zinazoitambulisha biashara yako kila siku, hapo unafika kwenye hatua ambayo Internet inakufanyia kazi, na sio wewe kuwa Mtumwa wake. NINI KINAKWAMISHA WATU WENGI SASA? Watu wengi hudhani kuwa biashara za … Continue reading TEKNOLOJIA YA S.E.O INA MSAADA GANI KATIKA BIASHARA ZA MTANDAONI?