FAHAMU ATHARI ZA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA (COVID-19) NA JINSI YA KUPAMBANA NALO KATIKA BIASHARA BARANI AFRICA

Ugojwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona umetangazwa kama janga la kidunia baada ya kuathiri maelfu ya watu duniani kote. Janga hili linatajwa kuzorotesha uchumi wa kidunia. Ugonjwa huu unasambaa haraka na namba ya wagojwa na waathirika inakwenda ikibadilika kila siku. Makala haya yanaakisi takwimu za ugojwa kufikia March 9, 2020. Takribani …

UGUNDUZI WA KITEKNOLOJIA KUELEKEA KATIKA MUSTAKABALI WA SEKTA YA UZALISHAJI

Katika zama hizi za mapinduzi ya 4 ya Viwanda duniani, teknolojia inakuja na mapinduzi makubwa katika kuunganisha nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kidijitali katika mifumo ya uzalishaji duniani (mass production). Kasi ya maendeleo ya kiteknolojia inatajwa kuchochea mabadiliko katika namna watu wanaishi na kufanya kazi katika nyanja zote za uzalishaji, uchumi na viwanda, pengine …

HOLIDAY SEASON OFFER

Do You want to shift your business to the worldwide customer base? Unlike physical trading mechanisms, the online trading platforms like websites, CRM’s, ERP’s and mobile Apps are VERY IMPORTANT tools to bring your business throughout the world with secured transaction methods. Do You wish to know how you can get one? Well through this …