KWANINI NI MUHIMU KUWA NA WEBSITE(TOVUTI) RASMI YA BIASHARA YAKO?

Hebu fikiria wewe ni mgeni mahali fulani, baada ya kushikwa na njaa unaelekezwa migahawa miwili, mmoja ukiutafuta mtandaoni unaweza kupata taarifa zake mwingine hauna taarifa yoyote mtandaoni. Uelekeo wako utakuwa upande gani? Kuishi katika ulimwengu wa kidijitali, tovuti ni zana muhimu sana katika biashara na masoko ya kidijitali. Inakadiriwa 35% – 50% ya biashara ndogondogo …

FAHAMU SIRI YA KUFANIKIWA KATIKA KUWEKEZA

Watu wengi hufikiri kwamba Kuwekeza ni swala la kupata Utajiri ndani ya muda mfupi, Kustaafu mapema au kupata gawio (interest) kubwa kila baada ya muda fulani kwa haraka. Ukweli ni kwamba Kuwekeza sio chanzo cha kukufanya ushinde unakula upepo wa bahari, kutumia pesa hovyo(kula bata) au kusafiri vile unataka pasi na sababu maalum. Usikariri maisha. …

UTAJUAJE KAMA KIFAA CHAKO (SIMU/COMPUTER) KIMEDUKULIWA?

Katika makala iliopita kuhusu “Kwanini Usalama wa Kimtandao ni muhimu kwako?” Mdau mmoja aliuliza, “Sasa nitajuaje kama computer yangu imedukuliwa?” Sasa leo hii nitakujuza dalili 10 muhimu za kutambua kifaa kilichodukuliwa/kilicho kwenye hatari ya kudukuliwa hapa. Fuatana nami.. Ngoja nikupe kisa: Mama mmoja alikiri kuwa mumewe alikua akifuatilia nyendo zake na jumbe za kwenye simu …

YAFAHAMU MASHBULIZI YA KIMTANDAO (CYBER ATTACKS) NA ATHARI ZAKE KATIKA BIASHARA/KAMPUNI YAKO:

Yaani ni 8% tu ya makampuni ndio wana uwezo wa kugundua wizi wa taarifa zao ndani ya dakika chache. 62% wanaweza kugundua wizi ndani ya siku kadhaa. Wewe unatumia muda gani kugundua upotevu/wizi wa data katika kampuni yako? Kama Unavyoona biashara zinavyozidi kushamiri kiteknolojia ndivyo wadukuzi nao wanazidi kutafuta mbinu za kufanya mashambilizi zaidi. Mwaka …